Alimegewa......hakufurahishwa...........sasa ataka kujinasua............

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Yaani ipo njemba moja ambayo ilimganda binti wa watu hadi akamegewa...........baada ya kuonjeshwa asali jamaa sasa adai hakufurahika na aona bora ajinasue..........wakati mwenzie afikiri sasa kapata kivuno............cha milele...........

Ni kizaazaa cha aina yake.................tatizo jamaa hafafanui ni kwa vipi hakufurahika na mechi ile ya nadra sana na huku akizingatia aliitafuta kwa zaidi ya miaka mitatu.......iliyopita...............
 
Sio Rev Masanilo kweli huyo? alikuja wiki jana na thread yenye maudhui kama hayo
 
Sio Rev Masanilo kweli huyo? alikuja wiki jana na thread yenye maudhui kama hayo

Tatizo wahusika ni wengine hawa..................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…