Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,071
Reaction score
1,361
Wakuu kwema?

Nilikua na muhusiano na mwanamke mmoja hivi.. ikatokea siku tuligombana akanitamkia maneno kadhaa ambayo yalichoma moyo wangu sana.

"sina hisia na wewe"
".sijawahi kukupenda"
"Nina bwana angu nampenda"
"Siku uliyonitongoza sio kwamba nilikua Sina mtu na mpaka Sasa hivi Niko naye".

Basi bana ikabidi niwe mpole nikakubali yaishe.. nika mblock na yeye akani block kuanzia kwenye namba mpka social network zote.

Kisa Cha kuleta huu Uzi
Nikashangaa ananitumia upya friend request fb akaanza Tena ku ni follow nikakausha. Akaanza kunipigia kwa namba mpya nyingi sana wakuu akiomba msamaha kuwa alikosea na ananipenda sana miezi miwili imeisha ila amenipigisa saana simu na namba mpya mpaka now simu yangu nimezuia namba mpya ikinipigia hainipati.

Amekuwa kinganganizi na wakatii Mimi tayari Sha move on..
 
Friend request, sa si wameshaachana amerudi kwako mkuu(jiongeze

Ila bado unampenda mpaka kuanzisha uzi we kubali uutendee moyo wako haki

Alfu nmejiuliza, Ina maana ukimtongoza mtu akikataa mnablokiana?kwani mliwahi date au mligombana nini ndo mblokiane..

Unachekesha wewe
Soma vizuri alikua ni mpenzi wangu
 
Wakuu kwema
Nilikua na muhusiano na mwanamke mmoja hivi.. ikatokea siku tuligombana akanitamkia maneno kadhaa ambayo yalichoma moyo wangu sana
"sina hisia na wewe"
".sijawahi kukupenda"
"Nina bwana angu nampenda"
"Siku uliyonitongoza sio kwamba nilikua Sina mtu na mpaka Sasa hivi Niko naye".

Basi bana ikabidi niwe mpole nikakubali yaishe.. nika mblock na yeye akani block kuanzia kwenye namba mpka social network zote .
Kisa Cha kuleta huu Uzi
Nikashangaa ananitumia upya friend request fb akaanza Tena ku ni follow nikakausha ..
Akaanza kunipigia kwa namba mpya nyingi sana wakuu akionba msamaha kuwa alikosea na ananipenda sana miezi miwili imeisha ila amenipigisa saana simu na namba mpya mpaka now simu yangu nimezuia namba mpya ikinipigia hainipati.

Amekua kinganganizi na wakatii Mimi tayari Sha move on..
Niamini mimi. Kodi yake ya nyumba inaisha tarehe 30 April. Fuatilia mkuu utakuja kunishkuru
 
shikiria apo apo usimruhusu arudi uko alitoka kakimbia nin had arudi kwako ashaona uko aliko kua wamemchoka anakuja kupumzikia kwako wew sio sehemu ya kupokea watu waliojichokea uyo ukimruhusu siku atakuchape afu alale Mbele Tena Urudi apa unalia Tena kam mwanzo aliona viazi ni chakula kichungu inakuaje leo anaza kuona Viazi ni chakula kitamu akili kichwani mwako
 
Mpokee umsikilize yawezekana kuna jambo jipya analo, binadamu wengi awe ke au me huwa hawajui wanahitaji nini hapa duniani.

Pia unabidi uondokane na hali ya kutongoza , kutongoza huwa ni ishara kuwa haujasettle kiufahamu.

Binadamu unabidi kuwa Attract na sio Ku-chase
 
Back
Top Bottom