Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

Mkuu sirudi nyuma msimamo wangu ni ule ule
 
Sijaona umuhimu wa wewe kumblock pale mwanzo kisa yeye alikublock.Inaonekana huyo mrembo ameshajua udhaifu wako kwake,so anarudisha majeshi.
 
Kachacha, hana vocha.
Usije kuwa mbuzi wa shughuli.
 
Ulimblock halafu na yeye akakublock. Sasa ulijuaje kuwa amekublock everywhere na ulishamblock?
 
Jamaa bado anampenda ndio maana ameleta huku tumshauri.....hata umwambie nini atarudi tu kwa demu huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…