Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

Jf watu mnajikuta wajuaji sana, sijaona sehemu mtoa mada akiomba ushauri.

Yeye kasimulia kisa mpate kujua watu mnacomment "oooh we bado unampenda hadi kumfungulia uzi" tutakuwa tunashindwa sasa
Kwa hiyo tusome tusinge mbele tujikalie kimya?
 
Bado huja move on, unajilazimisha tu kuamini hivyo.
 
mkuu fuata moyo wako kwani mapenzi ni yako wewe
kumbuka unatengeneza familia yako na sio zahanati ya kijiji
 
hapa kuna nini, elezea hapa kwa faida ya wengine kama mimi
Jaribu kuingia upande wa call settings then tafuta setting inayohusiana na mambo ya spam&block au blacklist.

Kuna setting moja huwa iko specific tu, ukisoma utaielewa moja kwa moja, huwa inasema
1.block numbers not in contacts
2.block unknown/hidden numbers
 
hapa kuna nini, elezea hapa kwa faida ya wengine kama mimi
Kama hakutokuwa na hizo settings kwa simu yako, ingia Google chrome, search APK MOD. COM, then ukishaingia upande wa hiyo blog, search application inayoitwa Caller id.

Ukishaidownload fuata maelekezo tu maana yako specific sana, yatakufikisha mpaka kwenye hizo settings nilizokuelezea, lakini pia uzuri wa hiyo application, kama usiposet hizo settings, namba ngeni ikikupigia, hiyo app huwa inao uwezo wa kumtambua anayekupigia ikiwa hiyo namba imesajiliwa kwa nida, ina display kabisa jina la mtu anayekupigia.
 
hakupendi akimpata anaempenda anakupiga chini, amini kwamba…saivi kapigwa chini na aliekuwa anampenda yupo lonely sasa anatafuta pakupoozea upweke wake.Mfano Kuna mwanamke mmoja nilimkula kimasihara nikapita hivi akapita vile juz ananipigia simu ananiambia yupo single kaachana na bwana ake yan anataka me nijae mazima, HAIWEZEKANI
 
Hii inaitwa theLove begin after break upπŸ§‘β€πŸ¦―πŸ§‘β€πŸ¦―πŸ§‘β€πŸ¦―πŸ§‘β€πŸ¦―
 
Amekuwa kinganganizi na wakatii Mimi tayari Sha move on..
Sijajua kama umeokoka lakini hao watu huwa tunawapokea (suiongee chochote msikilize na ujifanye boya ila uskiweke mjadala kakaenda kakarudi), unamfanya mtumwa wa ngono, no money kila akiomba mwambie huna, akikilalamika kidogo unakata mawasiliano wiki nzima.
 
emu nielekeze namna ya kuzuia namba mpya kukupigia haraka tafadhali
Atakuwa anatumia simu yenye spam filter, hii ipo standard kwenye simu za google pixel unaweza kuset namba ngeni simu haiiti, ila akipiga zaidi ya mara moja inakupa notification kukuuliza kama ina umuhimu hiyo namba, ukikataa ndio haitaita milele.
 
We jamaa acha ukatili wa kingonoπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Atakuwa anatumia simu yenye spam filter, hii ipo standard kwenye simu za google pixel unaweza kuset namba ngeni simu haiiti, ila akipiga zaidi ya mara moja inakupa notification kukuuliza kama ina umuhimu hiyo namba, ukikataa ndio haitaita milele.
Hata Xiami Redmi Pro Note 11
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…