Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

Ana ukimwi huyo anataka kukuambukiza
 

Hakupendi ila huyo aliyefikiri anampenda kampga chini
 
Jamaa hakusema anaomba ushauri yeye katoa kisa chake tu
 
Kwanza nimpongeze mama kwa kuona uzi huu.

Hivi una block namba mpya zote kisa mapenzi. Huna dharura yoyote au ishu nyingine zitazokuja kwa namba mpya? Kijana acha kuendeshwa na mapenzi. Toa block msikilize toa msimamo wako.

Kama unampenda chakata mbususu hiyo
 
Dr na mimi nielekeze natumia iPhone
iPhone huwezi kublock bali wana-silence unknown calls.

∆Ingia settings
∆Shuka mpaka kwenye Phone
∆Shuka kuna sehemu pameandikwa Silence Unknown Callers, turn it on

Kazi imeisha. Kwa hiyo akipiga huioni wala haitakusumbua.

Ukitaka kuona hizo namba zilizokupigia, kwenye sehemu ya kupiga. Pembeni kuna Voicemail utaiona kama Missed calls.

Kila la kheri.
 
Hiyo naijua nilitaka ile ya kumfanya asinipate kabisa
 
Hiyo naijua nilitaka ile ya kumfanya asinipate kabisa
Yeyote usiye na namba yake asikupate?

Basi hiyo hakuna internal built feature inayoweza kufanya hivyo. Ila kwa msaada wa apps inawezekana.

Je, upo tayari kutumia app?
 
Kama hana mimba basi U.T.I SUGU , GONO, AU HIV...au anataka kujipoza kwako kutokana na kuachana na mtu wake....

note; huyo jamaa akirudisha majeshi huyo demu anarudi tena kwa mwamba....kusema ukweli hakupendi wewe, alichosema mwanzo alimaanisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…