Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

Mkuu anapiga saana Simu yaani mpaka inakua kero anachkua namba za marafiki zake ananipigi Kila siku unakuta namba mpya 4 ni yeye so ikabidi tuu nifanye hivo Mimi simtaki
 
Kwahiyo sasa hapa unataka ushauri au unatupa taarifa ya yaliyojiri
 
Hisia zimerudi !! sasa unashangaa nini
 
Mpelekee lungu la jela achana naye mkuu uyoo
 
Mpelekee motooo uyoo mkuu achan naee
 
Jf watu mnajikuta wajuaji sana, sijaona sehemu mtoa mada akiomba ushauri.

Yeye kasimulia kisa mpate kujua watu mnacomment "oooh we bado unampenda hadi kumfungulia uzi" tutakuwa tunashindwa sasa
🤓
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…