Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Mwanamke wa Dar huyu,
Ana mtoto wa miaka 20 wa kiume (mwanae mkubwa), niliwahi kumsalimia i.e shikamoo! kipindi niko mgeni wa hili jiji, akanijibu, "Kampe mama yako, mi sijakuzaa, tena ukome, na ipo siku utaijutia salamu yako"
Muda huu niko kwake, dakika chache zijazo, mbususu itakuwa ikichakatwa!
Nasisitiza kwenye umri wangu (22 to 26 yrs)
Hoja:
Kwanini watu wa Dar es Salaam hawapendi salamu ya Shikamoo hata wawe wazee kiasi gani?