kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Kwema jamani?
Kuna mwanamke nilikua na mahusiano nae miaka 7 iliyopita. Mimi kwa wakati huo sikuwa na mwanamke mwingine zaidi yake, so it happened akaniambukiza gono,nilivyomuambia,aliniogesha na mvua ya matusi kiasi kwamba nikaamua kumuacha tu asepe na maisha yake.
So tukapotezeana kuanzia pale na yeye akaniblock kwa simu.ila baada ya muda kupita this week nimeona kanitafuta kwa number ngeni na ananiomba eti turudiane.
Wakuu,mtu kama huyu anafaa hata kumfikiria kweli?