kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Huyo anakufaa pga tena..si unajua gono haitaji mchubuko ukigusa tu imooKwema jamani?
Kuna mwanamke nilikua na mahusiano nae miaka 7 iliyopita.mimi kwa wakati huo sikuwa na mwanamke mwingine zaidi yake, so it happened akaniambukiza gono,nilivyomuambia,aliniogesha na mvua ya matusi kiasi kwamba nikaamua kumuacha tu asepe na maisha yake. So tukapotezeana kuanzia pale na yeye akaniblock kwa simu.ila baada ya muda kupita this week nimeona kanitafuta kwa number ngeni na ananiomba eti turudiane.
Wakuu,mtu kama huyu anafaa hata kumfikiria kweli?
Ndio anafaa, miaka 7 bado ana gono tu.Wakuu,mtu kama huyu anafaa hata kumfikiria kweli?
Kwema jamani?
Kuna mwanamke nilikua na mahusiano nae miaka 7 iliyopita.mimi kwa wakati huo sikuwa na mwanamke mwingine zaidi yake, so it happened akaniambukiza gono,nilivyomuambia,aliniogesha na mvua ya matusi kiasi kwamba nikaamua kumuacha tu asepe na maisha yake. So tukapotezeana kuanzia pale na yeye akaniblock kwa simu.ila baada ya muda kupita this week nimeona kanitafuta kwa number ngeni na ananiomba eti turudiane.
Wakuu,mtu kama huyu anafaa hata kumfikiria kweli?
Huwa mnapimaga wewe na michepuko yako ndgu au unamnanga tu mchizi hapa??Hivi Hamna kipimo Cha gono kabla ya kufanya mapenzi?
Au mnapimaga ukimwi TU[emoji848]
Nachangamsha mada[emoji4]Huwa mnapimaga wewe na michepuko yako ndgu au unamnanga tu mchizi hapa??
na mwanamke akiwa nayo huwa inamuwasha akikosa paipu atazamisha hata mjiti ili ajikune huko ndani.Iko hivi mwanamke anaweza kuwa na magonjwa ya zinaa kwanzia leo lkn asioneshe dalili hata moja mpaka hata mwaka mzima lkn mwanaume within 3 days tayari kila kitu hadharani
Hivyo kama unampenda mtibu au achana naye