Alinidanganya kuwa mumewe alikufa kwa stroke kumbe ngoma

Na wewe kwa upoyoyo wako ukaenda kavu kavu?
 
Hii covid watu wanaichukulia kimchezo mchezo,ila omba isukupate.
Nakula vizuri, nafanya mazoezi kwa kiasi na nina afya njema sina ugonjwa wowote.

Ila ilinichapa siku saba kama homa ya kawaida na baada ya kupima,nililala siku 11 taaban nakunywa uji(na nilivyo siupendi) tu ndo chakula changu.

Sio homa ya kawaida walahi.

Nadiriki kusema nimechomokea tundu la sindano.

Wiki mbili baadae sina hamu ya chakula chochote.
 
Chanjo ya ngoma inakuja ipo njiani... Cpati pcha itavonyang'anyiwa, wale waliokuwa wanapinga chanjo ya corona kwny chanjo ya ngoma duuh watataman waibugiee
 
Fanya ELISA HIV 1 $2 Antbody test ndo uanze jigamba.. vinginevyo ni swala la muda kuwa postive.
Kama unatamani hivi niwe Positive[emoji23]......kitaalam unaambiwa HIV ukiambukizwa inachukua siku 18 hadi 49 kusoma kwenye rapid test. Kaa kitaalam Jomba. Sijasema nilipekua ila nilikuwa na wenge. Unaweza usife kwa ukimwi ukafa na ajali death is parmanent.
 
Pole mkuu, watu hawako serious aisee...covid na HIV ni kama kufananisha kifo na usingizi...hiyo kitu isikie tu kwa mtu..Mungu mkuu alikuponya ..sifa zirudi kwake
 
Kila nikiwaangalia wanangu na mke wangu najionaga nazingua sana sometimes. Ila UBINAFSI ni jambo baya sana maishani. Kila unavyofanya jambo fikiri juu ya watoto wadogo na mama yao.
Hapa ndio kwenye point, nawapenda sana watoto wangu na naahidi kuendelea kuzaa, napenda watoto na I am a responsible Dad
 
Leo nakutana na nyuzi za ukimwi tu,wacha niendelee kuperuzi labda nitakutana na yatatu.
 
Na huu ndio ukweli mkuu, anaesema covid ya kawaida hayajamkuta. Na mimi ni muhanga nadiriki kusema nimeponea kwenye tundu la sindano.

Huo ugonjwa ni habari nyingine aisee...!
 
sijui kwa nini nimeufungua huu uzi,nimelala zangu hapa na mchepuko ananisifia eti najua kuchakata papuchi hadi imekauka ,

ila huyu mwanamke anajua kunyonga kiuno plus kuifinyia kwa ndani.

kwahyo haka kapapuchi nakokaona kwa mchepuko ndo kifo .
 
ila hawa watu na mashairi yao wanatupoteza aiseee.

gnako_____gusanisha hasi na chanya
nandy_____unapitaga wapi peku bila sendo
mauasama____chakula cha watoto mwagia ndani
harmonize______viatu viko mfukoni
younglunya_____sio hapo kati nanyonya hadi pua
mondi_____aiweke iweke/pitisha kwachini
jux_____sugua
billnas__vile anaikalia kwa juu kama anataka kutaga
47____we mpelekee moto
mondi____anataka nipige peku,
zuchu ____itelezeshwe kwa mate
dully_____nikumwagilie wino[emoji3]
harmonize___leo nakutooo-oo_toto


baada ya kuwasikiliza hawa ule wimbo wa ferooz __starehe unakuja kukushauri uachane na ushauri wa hawa wasanii wetu


ukimwi upo japo imani yangu inaamini mitishamba inaweza kuutibu.

tuzidi kumuomba mungu atuepushe watoto wetu watateseka mno.
 
ndugu yangu, kama una umri over 30,jua kwamba umelalana wanawake wengi wenye virusi. bila ndomu wengi wetu tungeshakuwa marehemu. mimi sijipi stress, awe na ngoma au asiwe na ngoma, nakula mzigo vizuri tu . ndomu imeniokoa mara nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…