Alinikataa enzi zile, nikaoa mwingine leo kaja tena yuleyul, anataka ku make love na mimi

Huyo hakupendi ni pesa tu ndo anakutakia. Sasa kwa nini unaenda kwake? Unampa pesa ya mtaji n.k. Mmmhh

Ukiendelea nae lazima atamwambia mkeo yeye yupo tangu kabla yake na hapo utakoma. Kweli weye softi yaani unamlilia mwanamke na u weak wako ndo maana anakuchezea hadi leo.

Weka pesa zako kalee familia na usimpelekee mkeo magonjwa.

Utajuta usipoacha, nitaku noti jina lako humu nikisubiria kuona unasema nini mbeleni.
 
Watu kama ninyi tunawapa sumu ya panya badala ya ARVs
 
Hongera kwa juhudi hizo ndugu yangu. Kwa uzoefu wangu mdogo ninahisi hizo mimba alizokua anakuambia hazikuwepo ila alikuwa anataka kukuvuta karibu au alikuwa anataka kuhakikisha km unampenda.ushahidi ni mdogo kukubali kuwa mimba inaweza kutolewa ndani ya 2 weeks bili hata wewe kujua...
nashauri kaka yangu achana nae coz anachotafuta ni kuzaa mtoto kwa kua umri wake umeenda na yawezekana hana mapenzi ya dhati kwako.
kila la heri mkuu
 

Wewe naona unalitamani sana boksi
 
Angalia kaburi kama hujui kifo !
 
Yaani wewe pamoja na kusoma kooote bado hujajua tu kwamba ngono nzembe ni hatari kwa maisha yako na mkeo?????. Kumpa mimba maana yake wewe unapiga kavu kavu tu wakati kuna condom hata za TZS 100.00 tu!!!!!!!. WEWE hovyo kabisa
 
Dah! Dunia sijui inapokwenda, Imagine mtu aliyeoa anakuuliza swali hilo!
Ila mkuu, duh! technique zako za kutafuta noumer...Hivi kumbe kumpata mwenzi si kazi ya kitoto! Mi nlidhani unabisha hodi mara3 kama kimya unenda bisha hodi kwengine kumbe unatakiwa kung'ang'ana hadi uvunje mlango!
 
Vipi wewe hutakuja kuolewa? Au huna mpango kama huyo Dada zamani halafu sasa hv anazitafuta

wanaume wenyewe wa kuoa ni kama huyu au kuna wengine?kama kuna wengine ntaolewa lakini kama ni design ya huyu ambao ndo wamejaa mtaani NO THANK YOU!
 
Mpende MKEO achana na kiporo kimechacha hatav ukikianika juani ssmizi hawatoki.
 
If you cant make her a wife, don't make her a mother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…