Alininyima namba yake ya simu ila anataka nimnunulie soda

shuka chini

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2024
Posts
842
Reaction score
1,928
Habari wadau.
Wanawake sijui akili zao huwa wanazipeleka wapi .

Ipo hivi kutokana na mimi kuwa mpenzi wa mpira.Sasa nimekuwa na kawaida ya kwenda ukumbi fulani ambapo kuna baa hapohapo.

Nikifika hapo naagiza zangu soda nacheki mpira huku nakunywa taratibu soda maana mimi sio mtumiaji wa pombe.
Sasa sikumoja nimekwenda hapo nikaliona limshangazi moja sura ya baba yake shepu la mama yake.Linabonge moja la tako balaa nikawa nimelielewa nikaliomba namba likaninyima.

Nikaamua kulichunia mimi huwa sipendi kulazimisha wanawake wenyewe wamejaa.

Sasa jana kwenye gemu la yanga nikaenda tena lilipo niona likanishobokea eti nilinunulie soda nikaliambia leo kwenye game ya simba talinunulia.
Sasa leo nimeenda nikakaa mbele kumbe limeniona likaniita we kaka ahadi yangu basi nikaamua kumchunia mpaka mpira umeisha nikasepa zangu.

Nyie wanawake kuweni na akili hata kidogo basi. Unagoma kutoa namba halafu unataka kula hela ya wanaume .Aise mimi huwa niko hivi nipe nikupe .Sina tabia ya kuhonga bila kula mzigo ukitaka hela yangu nipe mzigo niuzagamue.

Aliyewaroga wanawake nayeye alishakufa.
 
nimependa ulivyotumia ngeli ya LI-WA yaani limtambo, likitu lizito lizito😆

sema ni kama umekata tamaa mapema
 
Huyo alikunyima namba ili usimwone ni mrahisi unachotakiwa kufanya ni unamwita unakaa nae meza Moja, wewe kwakua hunywi pombe agiza grand malt alafu yeye mnunulie bia mbili then mueleze kuwa unataka mzigo. Namba haitakusaidia chochote
 
😀😀😀😀😀😃😃😂 Wakongwe kazini
 
Habari wadau.
Wanawake sijui akili zao huwa wanazipeleka wapi .

Ipo hivi kutokana na mimi kuwa mpenzi wa mpira.Sasa nimekuwa na kawaida ya kwenda ukumbi fulani ambapo kuna baa hapohapo.

Nikifika hapo naagiza zangu soda nacheki mpira huku nakunywa taratibu soda maana mimi sio mtumiaji wa pombe.
Sasa sikumoja nimekwenda hapo nikaliona limshangazi moja sura ya baba yake shepu la mama yake.Linabonge moja la tako balaa nikawa nimelielewa nikaliomba namba likaninyima.

Nikaamua kulichunia mimi huwa sipendi kulazimisha wanawake wenyewe wamejaa.

Sasa jana kwenye gemu la yanga nikaenda tena lilipo niona likanishobokea eti nilinunulie soda nikaliambia leo kwenye game ya simba talinunulia.
Sasa leo nimeenda nikakaa mbele kumbe limeniona likaniita we kaka ahadi yangu basi nikaamua kumchunia mpaka mpira umeisha nikasepa zangu.

Nyie wanawake kuweni na akili hata kidogo basi. Unagoma kutoa namba halafu unataka kula hela ya wanaume .Aise mimi huwa niko hivi nipe nikupe .Sina tabia ya kuhonga bila kula mzigo ukitaka hela yangu nipe mzigo niuzagamue.

Aliyewaroga wanawake nayeye alishakufa.
mnunulie kadi ya cmm
GVmaFWbbgAAqkQ4.jpg
 
Soda ya jero nayo ya kuanzishia uzi?? Kumbe hakukosea kukunyima namba😂😂
 
Soda ya Buku nayo ya kumnyima mtu na kuja kuanzisha uzi JF?
Brooh tafuta pesaaaa, Poleeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata huyo moo unaweza kumuomba buku na akakunyima sembuse mimi.
 
Sasa soda nayo ni ya kumsimangia mtu kweli??
 
madogo mnacheka sana vitu vidogo

hapo mbona ulikua unamaliza kirahisi kabisa
 
Back
Top Bottom