Alininyima namba yake ya simu ila anataka nimnunulie soda

Sasa si ndo anataka atoe namba baada ya wewe kumpotezea au ni nini hujaelewa?ukipenda kutongoza hovyo usijifanye kaksi
 
Mkuu ungetulia kimya maana tusiokunywa pombe hata chenji tunadai kwa fujo sana wauza bar hawapendi...
 
🀣🀣 we haraka yko ndo iliyokuponz mzee alaf nilichogundua huna experience na mishangaz ko achan nayo.soda tu!bia mbili je.
Ushauri:acha papala na mishangazi mda mwingine Huwa inausom mchezo
 
Huyo alikunyima namba ili usimwone ni mrahisi unachotakiwa kufanya ni unamwita unakaa nae meza Moja, wewe kwakua hunywi pombe agiza grand malt alafu yeye mnunulie bia mbili then mueleze kuwa unataka mzigo. Namba haitakusaidia chochote
Kijana ashapewa mbinu ya kivita, lakini kama soda ya mia sita hadi apewe mzigo hapo kuna mtu kweli?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Ngoja niende sasahivi game ya namungo na tabora
 
We siyo striker mzoefu nini? Yani umepigiwa through pass kupunguza beki mmoja unabaki na kipa nayo unashindwa?
 
Niko ukumbini muda huu naangalia mpira wa namungo na tabora naona namungo anapata penati.ila limshangazi bado sijaliona ila najua litakuja tu
 
Mkuu 'udomo zege' ni cheo anachokivaa mtu kwa sifa nyingi.

Si lazima domo zege ashindwe kutongoza tu mwanamke, ni pamoja na kutongoza na kutelekeza miadi, kukashifu maumbile ya mwabamke unayemtongoza, kunyima vitu vidogo vidogo kama soda ama peremende, kumuweka dosari zake hadharani kwa marafiki zako kabla hata hamjaanzisha nahusiano, kukuelewa kisha wewe kujitoa kabla haujazini naye nk nk.

Kutongozana kuna kanuni zake, mojawapo ni kama hiyo ya kukutolea nje kutest mitambo ili aone kama una nia.

Bahati ipo kwakwe, Mungu kamwepusha kupata mtu asiye sahihi.
 
Umefeli sana kijana . Wanaume huwa hatususi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…