mtukane tu 😂😂 ubaya ubaya mwanaNilimaliza chuo kikuu mwaka 2019 na sasa nipo kitaa bila kazi maalum. Kuna jamaa mmoja yeye ni mjumbe wa nyumba kumi ni kabila moja na mimi akaja akaniambia nianze kuendesha bodaboda ili nipate pesa ya kujikimu. Nilianza kuendesha bodaboda mwaka jana 2020 nikawa napata pesa za vocha ila jambo la kushangaza jamaa anaanza kuwaambia watu kuwa "mnamuona mwita amesoma sana mpaka chuo kikuu lakini ameishia kuwa dereva wa bodaboda kama vijana walioishia darasa la saba tu". Sasa sijui nimfuate nikamtukane?
Hiyo elimu yako haiwezi kukusaidia kamwe kwa akili hiyoNilimaliza chuo kikuu mwaka 2019 na sasa nipo kitaa bila kazi maalum. Kuna jamaa mmoja yeye ni mjumbe wa nyumba kumi ni kabila moja na mimi akaja akaniambia nianze kuendesha bodaboda ili nipate pesa ya kujikimu. Nilianza kuendesha bodaboda mwaka jana 2020 nikawa napata pesa za vocha ila jambo la kushangaza jamaa anaanza kuwaambia watu kuwa "mnamuona mwita amesoma sana mpaka chuo kikuu lakini ameishia kuwa dereva wa bodaboda kama vijana walioishia darasa la saba tu". Sasa sijui nimfuate nikamtukane?
usiwe na mazoea na watu wanaopenda kupata cha kusimulia kwa wengine.Jamaa anakera sana
Kwanini?Hiyo elimu yako haiwezi kukusaidia kamwe kwa akili hiyo
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app