Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Dunia ina mambo hii acheni tu.
Kuna jamaa bwana alikuwa ananitongoza .nikawa namuhold kwa sababu kwanza ni muongeaji sana pili nilikuwa Na mtu ambae simsomi Ila kumix watu wawili nikawa nashindwa sikuona ni fare.kwa iyo nikamfanya a very best friend
Jamaa ni muongeaji sana.sasa nikawa nimepigwa kibuti nikataka nimfanyie best friend promo ,nikaanza kumpeleleza kiaina kuhusu ,family take, past relationship zake etc kama mjuavyo bna.
Bwana eeh wanasema kua uyaone.muhenga Mimi kweli nimeyaona
Eti anadai siku moja village alikuta vijana wanampiga maza mmoja mande.Na yeye kwa uchu akaunga tela.kufika mbele lahaula ni mazake.
Inaendelea ngojeni nile kwanza matunda