Wakuu,
Kuna best yangu anaishi Kimara mwisho jana usiku aliota anakimbizwa sana na vibwengo watu, jamaa alikimbia sana mpaka miguu ikagusa kisogoni lakini aliposhtuka usingizini mida ya saa 8 usiku alishangaa alipojikuta na mashuka yake yupo sokoni Kariakoo, kumbe alikimbia kiukweli.