alipotea karudi na sababu tata

alipotea karudi na sababu tata

Nzenzu

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
858
Reaction score
164
poleni na shughuli za kila siku,jaman mpenzi wangu alipotea kimawasiliano karibu miezi miwil,hapigi wala kupokea cm au kujibu sms,karud juz anadai ye ni mzito kutumia simu!!! Kwakweli nashndwa kumuelewa!
 
tupo wengi tunaokuwa wazito kuanza mawasiliano ila kama wewe ulikuwa unampigia na kumtumia sms hajibu basi huyo haupo moyoni mwake.
 
so na wewe unamuamini? kazania maisha yako huyo hamna kitu
 
kale katabia kake kamejirudia tena!
 
Waswahili wana msemo Tabia haina dawa!
 
miyeyusho huyo,kula kona kaka kashaona we dhaifu hata akikudanganya huruki,miezi 2 no mawasiliano?!,kwa wapendanao kiukweli hichi ni kichekesho na haiingiii akilini
 
kama hautumi vocha,kwa nini awashe simu?........utaipenda.
 
miezi 2 ? hafai huyo
achana nae
 
....sasa sasa saaaaaaaaaaaaaaaaaaa ya kwenda kwenuuuuuuu....kwaheri mpz kwaheri..............:baby:
 
wew ushawahi mtafuta au ndo tabia ya kusikiliziana utakuta na mpz wako kaenda omba ushauri twitter
 
poleni na shughuli za kila siku,jaman mpenzi wangu alipotea kimawasiliano karibu miezi miwil,hapigi wala kupokea cm au kujibu sms,karud juz anadai ye ni mzito kutumia simu!!! Kwakweli nashndwa kumuelewa!

Rudini kwenye enzi za barua
 
kumbe tupo wengi tusiopenda kutumia simu

ila mi napenda tuonane 4 abt 3 hrs kila siku tuongee ila mambo ya kuchat kwenye simu siwezi
alaf sipendi kupiga simu kulik kitu chochote, i prefer skype ili tuonane

mvumilie tu, mi nina mke sasa na ameshanizoea tunaongea kwenye skype tukiwa ofisin mambo ya IM siyawez
 
Back
Top Bottom