proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
Katika harakati za mahusiano kuna changamoto nyingi.
Mtu anaweza kukuacha kwa sababu ndogo tu mfano,
Huna hela kwa kipindi fulan. Akakimbilia kwa mwingine anayefikiri ni bora zaidi.
Tamaa ya mali mf. gari, nyumba n.k akakuacha kwa sababu huna hivyo vitu.
Ameshakuzoea akakuona huna ladha na kuamua kujaribu kwingine.
Ameshauriwa na marafiki, ndugu na wengineo akuache aende zake.
Amehisi wewe sio type yake akachukua maamuzi magumu.
Kutokana na hayo alikuacha kwa kufikiri ameshafanikiwa lakini baade akajakukuta wewe ndio bora sana kupita vyote au wote na kutamani kurudi. Ulishawahi kuachwa au kuacha kwa sababu ambazo ulikuja kukuta baadae sio za msingi?...
karibuni kwenye maoni hapa.