Emma M Bai
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 223
- 126
Nimeweka na kiti wanakuja kukujibu.Alisikika jamaa mmoja akisema
"Kaeni mbali sijabeba ulanzi"
Hii kauli sikuielewa kabisa naomba kama umeelewa tusaidie kutuelimisha
ok itapendeza zaidi
Nimeweka na kiti wanakuja kukujibu.
chief kitu gani au huo ulanz
Alikuwa kabeba kitu cha hatari...
PetrolAlikuwa kabeba kitu cha hatari...
ungechomoa tu betriniliwah kuona hayo maneno kwenye gari la maji-taka