Jamani Nina mdogo angu alikuwa anasoma pale UDSM mwaka 2023/2024 alikuwa 2nd year,alipat changamoto ikamtoa mchezoni akaondoka chuo bila taarifa, Ili akatatue changamoto bahati nzuri/mbaya mtoto aliezaliwa na binti sio wake.
Anahitaji arudi tena masomoni na aris3 account yake haifunguki je inamaanisha amedisco? Na kama amedisco anaweza kusoma tena sehemu nyingine na kozi nyingine?, au ndio basi tena aendelee kupambana kitaa.