Alitaka kuchoma nyumba yetu kwa sababu ya sh 20 ya mazingaombwe

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Kuna jamaa bna tulikuwa nae village huko
Siku moja wakaja jamaa wa mazingaombwe school kwetu,kiingilio kilikuwa sh ishirini. Mimi sikuwa na hela unajua me nimetokea familia choka mbaya sana
Basi bna nyota ya masponsor imeanza niwakia kitambo baada ya watu waliolipia kuingia kwenye darasa ambalo lilikuwa limeandaliwa sisi ambao tulikuwa hatujalipia tukawa tumekaa tu kinyonge uwanjani huko kusubiria wenzetu watoke waje watusimulie yaliyojiri
Kuna jamaa mmoja alikuwa kanizidi madarasa mawili akaniita akaniambia haya zama ukumbini fasta.nilifurahi sana nikakimbia fasta ukumbini mle nikakuta show zinaendelea nilikuta jamaa anapasuliwa tofali kichwani hope wahenga wenzangu mnakumbuka hizo

Kabla ya kuendelea niombe radhi kwa uandishi wangu mbovu dogo yuko hapa analilia simu utadhani babake kaninunulia aah.mtoto gani hajalala saa nne jamani?

Tuendelee
Basi wakuu nikacheki zile mara mtu ameze glass, mara ameze yai Basi raha tupu
 
Miss Nna hamu ya kumjua baby daddy wako....

Nawaza jinsi alivyopata tabu kutungisha mimba eeheheheheheee.
 
Ha ha ha!
Kama wewe pia uliona mazingaombwe ya akina Prof Eyesso wewe unastahili kuitwa mhenga.
 
Abnormal kamiliki smartphone shida tuna pata sisi



Aya mods pelekeni jukwa la jokes uko
 
Enzi za mazingaombwe na kumuona Power Mabula na Power Mwana Kulyia Nilikuwa ninazama ofisini kwa maza kuomba jero
 
Duuuh watoto wasumbufu miye nimemnunulia zile simu ya toi unaweka betri akibonyeza inalia km Siemens za zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…