Alitaka kupambana na mchumi nguli ambaye hata Rais hamgusi. Sasa kapotea jumla

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Jamaa alijiona na kafinance kake kuwa naye ni mchumi wakati kale ni ka segment tu ka uchumi.

Sasa kila kitu kimenyooka chini ya huyu mwamba wa uchumi. Dolla inashuka thamani dhidi ya tsh kila siku. Mzunguko wa pesa ni mkubwa sana. Ajira kila kona

Mpina kwa heri ya kuonana.
 
Anaitwa mama wa Uchumi na Profesa wa siasa
 
Jamaa alijiona na kafinance kake kuwa naye ni mchumi wakati kale ni ka segment tu ka uchumi.

Sasa kila kitu kimenyooka chini ya huyu mwamba wa uchumi. Dolla inashuka thamani dhidi ya tsh kila siku. Mzunguko wa pesa ni mkubwa sana. Ajira kila kona

Mpina kwa heri ya kuonana.
Acheni kuwadanganya wantanzania na kuwaona wajinga wasiojua lolote kuhusu dola kushuka na ninyi mbulula mnashangilia kiduanzi!
Kilichopo ni benki kuu kununua dhahabu kwa lazima ya kila muuzaji anatakiwa kuiuzia kilo 2 kati ya kila kilo 10 zinazosafirishwa nje ya nchi ili kuinua akiba yake ya dhahabu iliporomoka.
Zoezi hili litakoma February 2025 na bei ya dola itarejea kuwa juu Tena. Jifunzeni kuutafuta ukweli kabla ya kushangilia Kama zuzu! Una swali juu ya elimu hii?
 
Unapiga ramli siyo. Bado hamjasema na mtasema tu. Mama akifanikiwa kwenu ni chukizo
 
Nina uhakika kuwa wewe ni ngumbaro wa kila tukio na unarukiarukia hoja ambazo huna uwezo nazo! Nakusubiri hapo February 2025 siyo mbali nitakukumbusha!
 
Phd wa uchumi unamuita ngumbaro wakati we hata diploma ya kuunga huna
 
Acheni kuwadanganya wantanzania na kuwaona wajinga wasiojua lolote kuhusu dola kushuka na ninyi mbulula mnashangilia kiduanzi!
Kilichopo ni benki kuu kununua dhahabu kwa lazima ya kila muuzaji anatakiwa kuiuzia kilo 2 kati ya kila kilo 10 zinazosafirishwa nje ya nchi ili kuinua akiba yake ya dhahabu iliporomoka.
Zoezi hili litakoma February 2025 na bei ya dola itarejea kuwa juu Tena. Jifunzeni kuutafuta ukweli kabla ya kushangilia Kama zuzu! Una swali juu ya elimu hii?
Kama kununua dhahabu kumefanya dollar ishuke na hayo manunuzi yatakoma February, kwanini basi wasiendelee kununua hiyo dhahabu kila siku mkuu ili dollar ishuke zaidi?
 
Na hii fungate ya kushuka kwa dollar mwisho ni February 2025 baada ya hapo ita shoot hadi 2800 na kuendelea. Hili ni changa la macho fulani hivi.
Utasubili sana. Kama hozo ndo wishes zako, to hell!!
 
Kama kununua dhahabu kumefanya dollar ishuke na hayo manunuzi yatakoma February, kwanini basi wasiendelee kununua hiyo dhahabu kila siku mkuu ili dollar ishuke zaidi?
Muulize govana wa BoT atakujibu bila shaka.
 
Jamaa alijiona na kafinance kake kuwa naye ni mchumi wakati kale ni ka segment tu ka uchumi.

Sasa kila kitu kimenyooka chini ya huyu mwamba wa uchumi. Dolla inashuka thamani dhidi ya tsh kila siku. Mzunguko wa pesa ni mkubwa sana. Ajira kila kona

Mpina kwa heri ya kuonana.

Dollar inashuka kwa sababu za internal affair na Policy za Marekani, Haihusiani na Tanzania hata kidogo?
 
Mkuu hawa chadema wamechangantikiwa hawajui washike lipi waache lipi
Nawe umechanganyikiwa Hadi umepita viwango vya kichanganyikiwq! Binafsi siyo muumini wa wa siasa na sijawahi kuwa mwanachama au shabiki wa vyama vya siasa. Usinisukumize huko Baki wewe mnufaika na chawa mtiifu!
 
Back
Top Bottom