Anaitwa mama wa Uchumi na Profesa wa siasaJamaa alijiona na kafinance kake kuwa naye ni mchumi wakati kale ni ka segment tu ka uchumi.
Sasa kila kitu kimenyooka chini ya huyu mwamba wa uchumi. Dolla inashuka thamani dhidi ya tsh kila siku. Mzunguko wa pesa ni mkubwa sana. Ajira kila kona
Mpina kwa heri ya kuonana.
Acheni kuwadanganya wantanzania na kuwaona wajinga wasiojua lolote kuhusu dola kushuka na ninyi mbulula mnashangilia kiduanzi!Jamaa alijiona na kafinance kake kuwa naye ni mchumi wakati kale ni ka segment tu ka uchumi.
Sasa kila kitu kimenyooka chini ya huyu mwamba wa uchumi. Dolla inashuka thamani dhidi ya tsh kila siku. Mzunguko wa pesa ni mkubwa sana. Ajira kila kona
Mpina kwa heri ya kuonana.
Unapiga ramli siyo. Bado hamjasema na mtasema tu. Mama akifanikiwa kwenu ni chukizoAcheni kuwadanganya wantanzania na kuwaona wajinga wasiojua lolote kuhusu dola kushuka na ninyi mbulula mnashangilia kiduanzi!
Kilichopo ni benki kuu kununua dhahabu kwa lazima ya kila muuzaji anatakiwa kuiuzia kilo 2 kati ya kila kilo 10 zinazosafirishwa nje ya nchi ili kuinua akiba yake ya dhahabu iliporomoka.
Zoezi hili litakoma February 2025 na bei ya dola itarejea kuwa juu Tena. Jifunzeni kuutafuta ukweli kabla ya kushangilia Kama zuzu! Una swali juu ya elimu hii?
Nina uhakika kuwa wewe ni ngumbaro wa kila tukio na unarukiarukia hoja ambazo huna uwezo nazo! Nakusubiri hapo February 2025 siyo mbali nitakukumbusha!Unapiga ramli siyo. Bado hamjasema na mtasema tu. Mama akifanikiwa kwenu ni chukizo
Phd wa uchumi unamuita ngumbaro wakati we hata diploma ya kuunga hunaNina uhakika kuwa wewe ni ngumbaro wa kila tukio na unarukiarukia hoja ambazo huna uwezo nazo! Nakusubiri hapo February 2025 siyo mbali nitakukumbusha!
Kama kununua dhahabu kumefanya dollar ishuke na hayo manunuzi yatakoma February, kwanini basi wasiendelee kununua hiyo dhahabu kila siku mkuu ili dollar ishuke zaidi?Acheni kuwadanganya wantanzania na kuwaona wajinga wasiojua lolote kuhusu dola kushuka na ninyi mbulula mnashangilia kiduanzi!
Kilichopo ni benki kuu kununua dhahabu kwa lazima ya kila muuzaji anatakiwa kuiuzia kilo 2 kati ya kila kilo 10 zinazosafirishwa nje ya nchi ili kuinua akiba yake ya dhahabu iliporomoka.
Zoezi hili litakoma February 2025 na bei ya dola itarejea kuwa juu Tena. Jifunzeni kuutafuta ukweli kabla ya kushangilia Kama zuzu! Una swali juu ya elimu hii?
Na hii fungate ya kushuka kwa dollar mwisho ni February 2025 baada ya hapo ita shoot hadi 2800 na kuendelea. Hili ni changa la macho fulani hivi.Trump katega
Ngoja ninunue Dollar za kutosha Trump anajitoa NATO 🐼
Sisi tunajua, wewe je?Achen kuongea porojo hamjui sababu za dollars kushuka
Utasubili sana. Kama hozo ndo wishes zako, to hell!!Na hii fungate ya kushuka kwa dollar mwisho ni February 2025 baada ya hapo ita shoot hadi 2800 na kuendelea. Hili ni changa la macho fulani hivi.
Muulize govana wa BoT atakujibu bila shaka.Kama kununua dhahabu kumefanya dollar ishuke na hayo manunuzi yatakoma February, kwanini basi wasiendelee kununua hiyo dhahabu kila siku mkuu ili dollar ishuke zaidi?
Mkuu hawa chadema wamechangantikiwa hawajui washike lipi waache lipiMuulize govana wa BoT atakujibu bila shaka.
Jamaa alijiona na kafinance kake kuwa naye ni mchumi wakati kale ni ka segment tu ka uchumi.
Sasa kila kitu kimenyooka chini ya huyu mwamba wa uchumi. Dolla inashuka thamani dhidi ya tsh kila siku. Mzunguko wa pesa ni mkubwa sana. Ajira kila kona
Mpina kwa heri ya kuonana.
Hata wew mama kakuksmata!! Duh kakamata wngiDollar inashuka kwa sababu za internal affair na Policy za Marekani, Haihusiani na Tanzania hata kidogo?
Siyo wishes zangu bali ndiyo imepangwa hivyo,kwani kuna mtu hataki unafuu wa maisha. Tusubiri tuone.Utasubili sana. Kama hozo ndo wishes zako, to hell!!
Nawe umechanganyikiwa Hadi umepita viwango vya kichanganyikiwq! Binafsi siyo muumini wa wa siasa na sijawahi kuwa mwanachama au shabiki wa vyama vya siasa. Usinisukumize huko Baki wewe mnufaika na chawa mtiifu!Mkuu hawa chadema wamechangantikiwa hawajui washike lipi waache lipi