alitumikishwa, au ni sehemu ya mapenzi?

Joined
Jul 26, 2012
Posts
51
Reaction score
6
ebana habarin za wakati huu,

mara nyingi xana hujiuliza juu ya kupokea cm ya mwenz wako lakin cpt jibu, kimbwanga hicho kimemkuta rafiki angu wa karibu xana, nibaada ya kuwa akimpigia cm aliyekuwa mpenzi wake ili waweke mambo =, anajikuta anaongea na njemba ikitoa matusi mithiri ya mzoga damponi na ii inatokea anapotumia laini yake, msela kanitaka ushauri kiukweli nimeshndwa.

kwaupande wa msela mwenye kupokea cm ana2mikishwa au ni sehemu ya mapenzi?
 
Rekebisha lugha kwanza.Hili si jukwaa la wasela.
Huwezi kutufanya wote watoto humu na lugha yako ya umri wa kubalehe.
 
Huyo rafiki yako na huyo msichana walishaachana right?sasa huyo bi dada kapata mwingine, at the same time rafiki yako anataka kurudi...mwambie huyo rafiki yako keshachelewa hayo ya kujua kama anatumikishwa au mapenzi sidhani kama yanamuhusu.
 
hivi siku hizi shule wamaetoa darasa la kwanza hadi la tano???

Kizazi kipya hakijui kabisa tofauti ya s na x
 
Watoto wa siku hizi bana. Hivi kutumia 'x' badala ya 's' kunapunguza au kuongeza nini?
 
Unataka tukujibuje? Umeshafanya homework lakini?
 
lugha zenu za kihuni zinakera kama nini
 

Umeona sasa mpaka wenye jukwa wanakuwakia si nilikuambia humu sio fb,humu kuna wazee sawa na baba,aunt tena ingependeza uanze na shikamoo.
 

Umenidhalilisha mimi na wakubwa wenzangu wa humu kwa lugha yako ya ki FB.
 
chalii yangu usela haulipi, unaona sasa hoja ulikuwa nayo lakini lugha yako sasa ndo imeharibu kila kitu.

Kila jambo na eneo na wakati wake. Ingekuwa kijiweni kwenu ungesifiwa lakini hapa hapana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…