alitumikishwa, au ni sehemu ya mapenzi?


Hivi kweli Taifa ndio lina watu kama huyu asiyejua lugha ya taifa halafu unajiita Mtazania?

Imeniuma sana kuona umechafua na kuidhihaki lugha yetu adhimu ya kiswahili!
 
hivi siku hizi shule wamaetoa darasa la kwanza hadi la tano???

Kizazi kipya hakijui kabisa tofauti ya s na x

I even don't understand!
Kwa nini mtu anaona raha kuandika 'cm' badala ya simu..au 'xaxa' badala ya 'sasa'..
Nadhani walimu wamegoma..
 
kama umeweza kuandika "x" unashindwaje kuandika "s", tena hapo kwenye "keyboard" vipo karibu sana
 
nimekipata mpaka nimejificha mwenyewee, nimekomaaa, cha ajabu mtaani kwetu ndiye m/kiti wa vikao vya kijiji. mi nilijua nyakati zimebadirika, manake nimekuwa nikipata sms na barua nyingi za stairi hiyo. duuu kumbeeee.....uuuh. possibble nisamehe mzee mwenzangu
 

Tuko pamoja ndugu.Mtu hupewa heshima kwa mavazi na unadhifu wa lugha.Nakuheshimu kwa kuwa umeamua kutofuata mkumbo wa vijana wa leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…