Ni kutokana na huko kufeli feli kwake ndiko kunamfanya aendelee kupata show nyingi zaidi...Jamaa kafeli ...kakata viuno hajaimba kachafua bendera
Sio wivu ni kisirani cha kike ndio kinamsumbua huyu jamaaWivu
hahahahaaaa salam zao Sana achimwene....Sio mbaya japo kwa picha manake wengine tupo kwenye treni tunaelekea Mpindimbi!!!
Acha manenoweka muziki.........Huyu Diamond mgomvi eti "habari wanayo "
Wakati wewe unaenda nunua kavocha ka buku ujiunge bando,yeye diamond anajaziwa vocha na vodacom atakavyo,mwanae anakula hela ya matangazo nmb.why usione wivu.muombee aongezewe zaidi kipato anaweza kuja jenga shule au hospital ukaajiriwa kama mlinziJamaa kafeli ...kakata viuno hajaimba kachafua bendera
Hahahaa... zishafika achimwene... najua ulikuwa hujui kwamba siku hizi kuna treni ya kwenda Mpindimbi!!!!hahahahaaaa salam zao Sana achimwene....
Ni wapi huko?Hahahaa... zishafika achimwene... najua ulikuwa hujui kwamba siku hizi kuna treni ya kwenda Mpindimbi!!!!
Kabisa asee,nikija nitaipanda hiyo treni hahahaHahahaa... zishafika achimwene... najua ulikuwa hujui kwamba siku hizi kuna treni ya kwenda Mpindimbi!!!!
Mpindimbi....!!!Ni wapi huko?
Basi sawa... tena kitu full kipupwe!!!Kabisa asee,nikija nitaipanda hiyo treni hahaha
Nop..Matola ndio alianzisha ile thread ya team kiba.ChingaOne nakumbuka uliwahi kuanzisha special thread ya team kiba, karibu kwenye team ya ushindi
Unamuonea.., thread ya Team Kiba ilianzishwa na Matola na Chinga One alianzisha thread ya Diamond!! Kile kilikuwa ni kipindi cha full minyukano.....
Ruvuma hukoNi wapi huko?
Mkuu hebu weka na kavideo basii wengine hatuna DSTV tumepitwa jombaayuko stegini anafanya yake,heko sana baba tifa.
Ningefurahi kama Jamal malinzi yuko humu!?
Povu[emoji89] [emoji81]Jamaa kafeli ...kakata viuno hajaimba kachafua bendera