Aliwahi kusema Mourinho ili upate penati Old trafford labda uchomwe kisu, hali hiyo naiona dhidi ya Yanga

Aliwahi kusema Mourinho ili upate penati Old trafford labda uchomwe kisu, hali hiyo naiona dhidi ya Yanga

Nimeshangaa sana jana Azam kunyimwa penati...au hata mpira wa adhabu
 
Marefa wameamua hata yanga wacheze rafu kwenye box lao ni haramu kutoa penati kwa mpinzani

Labda itokee mtu achomwe kisu kabisa ndio watatoa penati
Labda mtu apigwe mguu wa kolomeo afe hapo angalau kidogo. Na mkiwa hamjielewi huko mbeleni Mwamnyeto au Baca atakuchezea rough eneo letu la Yanga penalty itaenda pigwa kwenu hasa nyie mikia. Penalty itakuwa ni adhabu kwa kuwatamanisha mabeki wetu wawachezee rough. MGUU WA SHINGO MGUU WA ROHO
 
Marefa wameamua hata yanga wacheze rafu kwenye box lao ni haramu kutoa penati kwa mpinzani

Labda itokee mtu achomwe kisu kabisa ndio watatoa penati
Hata kwa makolo Ili upate penati labda upigwe risasi ya kichwa.
 
Back
Top Bottom