choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Na hii imewalemaza akili Aucho, Bacca na Mudathir wanaona kucheza rafu ni sehemu ya ustadi wao wa kucheza mpira.Marefa wameamua hata yanga wacheze rafu kwenye box lao ni haramu kutoa penati kwa mpinzani
Labda itokee mtu achomwe kisu kabisa ndio watatoa penati
Labda mtu apigwe mguu wa kolomeo afe hapo angalau kidogo. Na mkiwa hamjielewi huko mbeleni Mwamnyeto au Baca atakuchezea rough eneo letu la Yanga penalty itaenda pigwa kwenu hasa nyie mikia. Penalty itakuwa ni adhabu kwa kuwatamanisha mabeki wetu wawachezee rough. MGUU WA SHINGO MGUU WA ROHOMarefa wameamua hata yanga wacheze rafu kwenye box lao ni haramu kutoa penati kwa mpinzani
Labda itokee mtu achomwe kisu kabisa ndio watatoa penati
Aucho ni mcheza rafu namba moja ila marefa wanamuangalia tuuNa hii imewalemaza akili Aucho, Bacca na Mudathir wanaona kucheza rafu ni sehemu ya ustadi wao wa kucheza mpira.
Hata kwa makolo Ili upate penati labda upigwe risasi ya kichwa.Marefa wameamua hata yanga wacheze rafu kwenye box lao ni haramu kutoa penati kwa mpinzani
Labda itokee mtu achomwe kisu kabisa ndio watatoa penati
Kuna mechi dhidi ya Azam Heri sasi aliona aibu ikabidi atoe tuu baada ya Nondo kucheza kung fu kwenye boxHivi Yanga mara ya mwisho kuadhibiwa penalty kwenye ligi ilikuwa mwaka gani?