BIN BOR
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 1,013
- 407
MCB, benki ya kanisa langu pendwa Katoliki, lakini kitendo mnachonifanyia sasa ni cha kihuni kabisa. Mlisema nikiwa mahali ambapo hakuna tawi la Mkombozi naweza kuweka hela kupitia TPB.
Pesa imewekwa Alhamisi, haikuonekana kwenye akaunti. Ijumaa nikafunga safari toka Bagamoyo hadi St Joseph, huyo akaniambia kulikuwa na hitilafu, saa sita usiku pesa itaonekana, hadi sasa hakuna kitu.
Nikamwambia ni gharama kwangu kutoka Bagamoyo akanipa namba ya kupiga bure 0800 750 040 nimepiga toka saa 3 asubuhi hadi sasa saa 6 mchana haipatikani.
Hii maana yake nini?