Aliye na kitabu kizuri.

Paul Mchumi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
1,039
Reaction score
1,256
Wakuu nawasalimu,mimi huwa napenda sana kujisomea vitabu mbalimbali,so kwa mtu yeyote alie na kitabu ambacho anajua ni kizuri na kimemsaidia kumpa vitu fulani vipya katika maisha yake,iwe ni politics,psychology,management,counseling,au any inspirational book,basi tafadhari naomba niwekee hapa,au tupia link nami taifuata na kudownload,tashukuru sana kwa atakae nisaidia kwa hilo.............!
 
  • Ingia JF store kuna vitabu vingi utapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…