Aliye pata barua ya kuitwa kazini tafadhari

Aliye pata barua ya kuitwa kazini tafadhari

ba nso

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
668
Reaction score
225
Hallow wadau, kama kuna mtu aliyepata barua ya kuitwa kazini kutoka tume naomba kujua ni lini tarehe ya kuripoti Hombolo.
 
mkubwa nenda pale makitaba ukachukuwe mwenyewe mimi nimeshaenda ukifika pale wazingue uwaambie your post code is not active, but wamesema ndani ya siku kumi na nne,mimi naenda kuriport alhamisi
 
hawa jamaawautumishitherearenot active kwenye kutumahizobarua kwahiyonenda palemakitaba ndioofisi zao zilipo
 
Fata mwemyw pale utumish mana hawatumi wala kukupgia cm wanakuacha ucheze na internet
 
Back
Top Bottom