Waungwana nashukuru kwa ushauri wenu mlionipa kuhusu mke wangu kichomi.Mara ya mwisho tulipatana kuwa aende nyumbani akapumzike ili tutafute suluhu.Cha ajabu amekaa muda mfupi na amerejea tena na watoto amewaacha huko kwao.Cha kusikitisha bibi ya watoto wangu ni muathirika wa HIV na ndiye anayewahudumia.Naona sasa nitafute mke.Aliye tayari kuolewa karibu.