Ndio.But kwa sasa nahitaji mwanamke mwenye shahada mbili,umri walau miaka 31,make huyu shule yake ni ndogo amenitesa sana.Umri wangu ni miaka 35.
Anamiliki nyumba kama kiota cha ndege,gunia mbili za mihogo na kizuri zaidi ni tajiri wa mahaba bali maskini wa kipato. Hapo vp?
Ndio.But kwa sasa nahitaji mwanamke mwenye shahada mbili,umri walau miaka 31,make huyu shule yake ni ndogo amenitesa sana.Umri wangu ni miaka 35.
Ndio.But kwa sasa nahitaji mwanamke mwenye shahada mbili,umri walau miaka 31,make huyu shule yake ni ndogo amenitesa sana.Umri wangu ni miaka 35.
Natafuta msomi ili PhD yake iwe ya mahaba.huenda akasahau hata kazi yake.
Watakuja wenyewe.....
Hao pia wanafaa,but nahitaji commitment zao.
wewe Umepima!!!!!!
Usikute yeye kicheche na kupima hataki ila anamsingizia mkewe kuwa malaya na ana ngoma. Sie kina baba wa kiafrika haki ya nani tuna issues, yaani basi tu. Ngoja nikasikilize wimbo wa Muumin Mwinjuma wa "Mgumba" nijiliwaze na maisha haya ya mpito.
Hujanielewa.Mke huyu alifanya vurugu na tukashindwa kupata mwafaka.Nikaona suluhisho ni kumpeleka kwa wazazi ili wamshauri.Amekaa muda mfupi akarejea na kuwaacha kwa bibi yao ambaye ni HIV postive.Naamini my Ex pia ni mzima.Nakushauri usome tena.