Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
Neti inakera sana hususa ni kwetu wanaume weusi warefu, unakuta inakugusa gusa miguuni na kichwani, inakera sana, raha ya usingizi inatoweka. Halafu kuna mbu wanafanya mashambulizi kutokea nje.
Wafupi hamta elewa hii adha ila mkikuwa mtajionea.
#UziTayari
Wafupi hamta elewa hii adha ila mkikuwa mtajionea.
#UziTayari