Aliye tengeneza neti / chandarua moja kwamoja MOTONI / Jehanamu / Hell

Neti inakera sana hususa ni kwetu wanaume weusi warefu, unakuta inakugusa gusa miguuni na kichwani, inakera sana, raha ya usingizi inatoweka.

#UziTayari
Tatizo ni neti na mtengenezaji au ni wewe na upambanuaji wa mambo?Kwa nini usiifungie neti kwenye shangazi kaja halafu unywe dawa ya mbu kujikinga nao?
 
Mimi mpaka leo sijifuniki net kwa sababu hizo hizo. Net inakera sana aseeh.

Ila kuna zile net ni kubwa kuliko kitanda king sized hazigusi kitanda hizo ni nzuri sana kama hizi hapa at least
 

Attachments

  • download (2).jpeg
    10.5 KB · Views: 5
  • download (1).jpeg
    7.8 KB · Views: 4
Tengeneza kitanda kirefu bro, neti zinavutika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…