Aliye tengeneza neti / chandarua moja kwamoja MOTONI / Jehanamu / Hell

Mbu hadhibitiwi kwa dawa au chandarua pekee.

Chumba kiwe kisafi,nafasi za kupita kila kona.

Mbu wanakimbia hata Harufu nzuri. jaribu kululizia manukato matam chumbani utaniambia.Hutawakuta mbu

Endelea kulala na uvundo uhisi mbu watakuacha salama na ulivyo mrefu kama uwanja wa mpira.
 
We bwege unakosa usingizi kwa sababu za madeni usisingizie net
 
Sijui ni mimi tu huwa nikilala ndan ya neti naona kama napata shida kuvuta hewa, haitoshi lakini nikiitoa tu naona ahueni
Tupo wengi mkuu,mimi nilikua nalala kwa kochi wakati wife mjamzito.

Nilipoanza kufanya usafi kila siku room ikawa na hewa mpyaa mbu wakakimbia.

Wengi hata toilet hawafanyi usafi zile kona kona zile masinki.
 
Dogo utakua unatumia net za round zile unazokuta gesti za Mbagala na Yombo.
Nunua zile neti zinazokuja na mabomba yake, utanishukuru siku ukipata nafasi.
 
Sipendi kulali net napuliza dawa
Hivi serikal hiii hata mbu wameshindwa kuwapoteza
 
Wewe unazungumzia vyandarua vya bure, cha bure kikufunike na miguu haiwezekani, ukitaka vya kufunika miguu nenda dukani vipo vya futi sita kwa sita na zaidi.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tupo wengi mkuu,mimi nilikua nalala kwa kochi wakati wife mjamzito.

Nilipoanza kufanya usafi kila siku room ikawa na hewa mpyaa mbu wakakimbia.

Wengi hata toilet hawafanyi usafi zile kona kona zile masinki.
Rudia kusoma ulichoandika! Kama hakuna kosa, mfuate haraka Mbunge wa Iringa na Rafiki wa Waziri Dr Gwajima akusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…