Aliyeanguka kutoka kwenye ndege ya Kenya Airways mjini London alikuwa mfanya usafi katika Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta

Aliyeanguka kutoka kwenye ndege ya Kenya Airways mjini London alikuwa mfanya usafi katika Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta

The Sheriff

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
747
Reaction score
2,112
PIC+KENYA.jpg
Familia moja huko Kakamega nchini Kenya imepatwa na msthuko baada ya kituo kimoja cha televisheni cha Uingereza kueleza kuwa mwili wa mtu aliyeanguka kutoka kwenye ndege ya Shirika la Ndege la Kenya huko London, huenda akawa ni mtoto wao.

Sky TV jana Jumanne ilitoa ripoti iliyoeleza kuwa huenda Paul Manyasi, mfanyakazi wa kampuni moja ya usafi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, akawa ni mzamiaji aliyepoteza maisha baada ya kujificha kwenye ndege na mwili wake kuanguka wakati ndege ikiwa angani huko mjini London.

=====================

A family in Kakamega is in shock following revelations by a British TV that its firstborn could be the person whose body fell from a plane in the United Kingdom in June.

Sky TV Tuesday published a report that strongly indicated that Paul Manyasi, a worker at a cleaning services firm, may have been the stowaway, even as his father, Mr Isaac Manyasi, said he is yet to get details of the news.

“No one has called to inform me of the death of my son from the time media people in the UK informed me about him,” he said yesterday.

Paul, who was 29, was a cleaner for Colnet company at Jomo Kenyatta International Airport, Nairobi. He hailed from Namakara village, Malava, Constituency.

In an interview by a Sky News reporter, the cleaner’s girlfriend said Paul reported to work on the day but disappeared.

The reporter zeroed in on the former worker at Colnet after following a number of leads.

According to the report, a taxi driver called Kamau confided in the journalist that a cleaner from the company had gone missing.

Kamau’s hint led the journalist to Colnet, where an employee revealed that her colleague called Paul Manyasi had gone missing towards the end of June.

“We were at work in the morning and he vanished suddenly. I attempted to call him but the phone was switched off,” Paul’s colleague told the journalist.

According to her, the supervisor called all employees the following day and told them that one of them was missing though he was not sure who it was.

She added that the supervisor told them not to tell anybody until the identity of the missing worker had been known.

As the interview progressed, the report went on, it turned out that woman, whom the journalist called "Maureen" to protect her identity, and Manyasi were having an affair.

“I just feel like I have lost someone I loved very much,” Maureen told the reporter.

Manyasi stayed in Mukuru Kwa Njenga slum which is not far from the airport.

Armed with an e-fit photo produced by the London Metropolitan police and the images of Paul’s personal belongings which were found in the landing gear of the plane, the investigative journalist headed to western Kenya where he caught up with Maureen.

After taking a close look at the photo and the image of the bag found in the aircraft, she said Paul was definitely the stowaway.

While in Kakamega, the journalist traced Paul’s parents who were still distraught about the disappearance of their first born son.

“I don’t know where to start or end because his phone has been switched off,” Paul’s mother reportedly told the journalist.

From the photos, the two identified their son. According to the journalist, the elderly couple could not bear the pain on knowing that Paul had died after hiding in a plane.

Her only request is for the government and well-wishers to help her raise money to bring her son home so that he can have a decent burial, the report said.

Last month, British police released an e-fit photo of the stowaway hoping to have him identified and his family informed. Also released were images of his belongings, among them a Sh20 coin, a bag and a bottle.

“This has been a sad incident to investigate. This man has a family which needs to know what happened,” said DS Paul Grieves while releasing the images.

“Our investigations have included liaison with authorities in Kenya, where the flight originated. I hope by releasing this e-fit, someone known to the deceased will recognise him and make contact.”

Paul’s body is at a mortuary awaiting the conclusion of investigations, before a file is submitted to a South West London coroner and an inquest held.

Paul’s parents, his former room mate and girlfriend described him as jovial.

The parents, who rely on their one-acre piece of land, said they were hoping Paul would land a job and lift the family from poverty.

“I was happy when my son left the village to look for a job in Nairobi. I knew that once he got a job, he would help us and his siblings," the elderly Manyasi said.

Paul was the first born in a family of five.

He completed high school and travelled to Nairobi two years ago.

His first job was at Colnet after being linked there by his friend and room mate called Patrick.

Following the publication of the story, British police said its officers are investigating the circumstances surrounding the death and are taking steps to confirm the identity of the stowaway.

“Sky News has provided us with images of Paul Manyasi,” the Metropolitan Police Service said in a statement released by Chioma Dijeh, the media and communications manager.


Source: Daily Nation

Pia soma:
 
Ozzanne Issakwisa,
Hakika. Mwisho wa wengi ni aidha kifo au majanga zaidi. Tunaona yanayowatokea wanaojaribu kuvuka kwenda Ulaya na vyombo vikuukuu. Wengine wanaishia kwenye mikono ya watu wabaya na hatari, mfano huko Libya.
 
Ila sasa mimi najiuliza tu huyu angetokaje airport baada ya kufika? Anyway, hongera zake manake kama alikomaa nje toka Africa mpaka London ndio akafa hata hivyo alikaza sana.
 
Ila sasa mimi najiuliza tu huyu angetokaje airport baada ya kufika? Anyway, hongera zake manake kama alikomaa nje toka Africa mpaka London ndio akafa hata hivyo alikaza sana.
Huyo alikufa tu pale ndege ilpokunja tairi Jomo Kenyatta. Kilichomfanya adondoke ni ndege kukunjua tairi ili itue maana kuna kimlango pale chini kinafunguka ila alikufa kitambooo
 
Huyo alikufa tu pale ndege ilpokunja tairi Jomo Kenyatta. Kilichomfanya adondoke ni ndege kukunjua tairi ili itue maana kuna kimlango pale chini kinafunguka ila alikufa kitambooo

Pole Sana Kwa Wote Walioguswa Na Kifo Hiki
Naona Uweka Bila Shaka Ndiyo Ukweli Alikufa Ndege Iliporuka Kenya
Mwili Ulidondoka London Wakati Ndege Unatoa Tairi Nje
 
Kwenye ndege kuna eneo kubwa tu linabaki mtu anaweza kukaa raha mstarehe ila kwa ndege za domestic anaweza kufika salama. Kwa midege ya masafa inaruka juu sana huenda alikufa kwa kukosa hewa na baridi maana huwa mpaka kuna ice
 
Mi niseme kitu kimoja hapa:

Nilipokuwa kijana ninayekuwa miaka ya 90 nilijua watu wanaoishi Mkoa wa Dar es salaam wote ni matajiri, hawana shida, maisha yao yanaenda vizuri kwasababu huduma nyingi zipo huko, ofisi zote muhimu zipo Dar, ukichanganyia hata bahari nilikuwa sijawai hata kuiona hapo ndo nilizidi kuchanganyikiwa na kutamani kwenda huko Dar nikajionee mwenyewe, la kushangaza kumbe kuna masikini wa kutupwa kuliko hata wa mikoani, wengine wanashindia mihogo na utumbo wa kuku tena kwa mlo mmoja.

Ndugu yangu mmoja aliyewahi kuishi nchi ya ureno alipokuwa anasoma aliniambia huko kuna miji ni masikini wa kupwa mpaka kuna watu wanalala kwenye varanda za maghorofa kama wale wa kariakoo na sehemu nyingine hapa kwetu , sasa kwa kusema haya nilikuja kugundua Waafrika wengi wanaokimbilia nchi za ulaya ili wakapate utajiri tena kwa gharama kubwa na kuweka maisha yao rehani kwa ujinga na upumbavu, wengi wao ndo wanaufata umaskini zaidi ni bora wangekuwa wanabaki hapahapa kwao pengine wangetoboa.

Mitazamo hasi inayowafanya wadharau vya kwao na kutukuza vya wageni ndio sababu kubwa inayowafanya ndugu zetu wakimbilie kifo huko ughaibuni.
 
Back
Top Bottom