DustBin
JF-Expert Member
- Jun 3, 2021
- 609
- 604
Moja kwa moja kwenye hoja kuu iliyobebwa na kichwa cha habari...!
Wahenga wanamkumbuka aliyeanzisha/kuruhusu mchakato wa Katiba Mpya (KM). Ishara za wazi zinaonesha yeye ndiye atakaesimamia kusimika kwake au kukamilika kwake. Ijapokua uhusika wake sio wa moja kwa moja.
Mungu ni mwema, ukifanya jambo kwa kumtanguliza yeye analibariki na anakubariki na wewe pia. Ingawa itachelewa lakini Katiba itafanyiwa marekebisho na hatimaye readjusted Constitution itakuwa mezani.
Alamsiki..!