Kuna yule aliyewezesha mpaka tume ya Warioba kuundwa ila akawageuka balaaAlieanzisha hii kitu ni watanzania wote bana na sio mtu mmoja
Kupatikana itaoatikana lakini itachukua muda..! Na kama kipindi hiki cha Mama kitapita hivi hivi basi tusahau.Mchakato ni wa taifa zima... KATIBA MPYA LAZIMA TUTAIPATA.
Huu ndo ukweli halisi. Ndo maana nawashangaa wanaosema tusubiri Ilani za vyama ziseme tunahtaji Katiba mpya.Hamnaga kitu kinaanza na watu wengi