Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Yule Gavana wa Bank anayeshutumiwa kubanjuka na First Lady wa Zimbabwe (Grace Mugabe almaarufu kama Dis-grace Mugabe) sasa ameingia mafichoni akihofia usalama wa maisha yake!
Inadaiwa kwamba anaogopa baadhi ya mashushushu wanaojipendekeza kwa mzee Mugabe wanaweza kummaliza hata kabla mzee hajatoa amri, wakiamini kwamba kitendo kile kitamfurahisha mzee Mugabe!
Cha mtu mavi!
Kwa habari zaidi gonga hapa: Gono in hiding over affair with Grace Mugabe*|*ZimDaily
kweli mke wa mtu sumu ambayo mwenye kuila hafi.
Ila kwa ishu ya mugabe ambaye hata akisimama au kulala haishi kutetemeka na kuyumbayumba sidhani akama anaweza kupanga mashambulizi ya mafanikio
ASPIRIN yu wapi kutoa pongezi kwa infidelitee gavana
first lady wetu kazurura alone kwa muda mrefu saana...! I WONT BE SURPRISED NIKISIKIA NAE KALIWA....!!!
Hii haiwezekani aisee kwa sababu wanawake ni waaminifu mno. Wanamsingizia tu grace wa watu
Mke wa Mugabe kifaa broda!
first lady wetu kazurura alone kwa muda mrefu saana...! I WONT BE SURPRISED NIKISIKIA NAE KALIWA....!!!
:tape::tape: