swali lako nimelishindwa nikupe mji mkui; nenda shinyanga!Wakuu poleni na mihangaiko kutafuta rizki!!!mi mwenzenu wa stendi huwa same time najiuliza maswali ya kizushi mimi kama mimi ila nimeamua niwashirikishe!!swali lengewe ni hili!!!hv yule aliechora ramani ya dunia yeye alijuwa amekaa wapi!!! Namaanisha alikuwa ndani ya ule muhimili au alikuwa nje ya ramani!!na kama alikuwa nje ya ramani swali hapo sasa alikuwa dunia gami sasa!!! Nawasilisha!!!
Mwanzo mzuri. Umeanza hatua ya kujitegemea. Ila usiishie hapa. Endelea na utafiti wako mpaka uujue ukweli. Yaani ujue raman ya dunia halisi ni ipi. Napenda watu wa design yako. Kikubwa ni wewe kuanza kuchukua hatua za kuujua ukweli. Sawa na suala la munguWakuu poleni na mihangaiko kutafuta rizki!!!mi mwenzenu wa stendi huwa same time najiuliza maswali ya kizushi mimi kama mimi ila nimeamua niwashirikishe!!swali lengewe ni hili!!!hv yule aliechora ramani ya dunia yeye alijuwa amekaa wapi!!!
Namaanisha alikuwa ndani ya ule muhimili au alikuwa nje ya ramani!!na kama alikuwa nje ya ramani swali hapo sasa alikuwa dunia gami sasa!!!
Nawasilisha!!!
Teh teh teh! utakua mzinza we jamaaAlikuwa amesimama milima ya sengerema kijiji cha bupandwamhela kwa maelezo zaidi njoo unipitie niko nyakato mwanza
Nilitaka kushangaa usimtaje mungu.Mwanzo mzuri. Umeanza hatua ya kujitegemea. Ila usiishie hapa. Endelea na utafiti wako mpaka uujue ukweli. Yaani ujue raman ya dunia halisi ni ipi. Napenda watu wa design yako. Kikubwa ni wewe kuanza kuchukua hatua za kuujua ukweli. Sawa na suala la mungu