Aliyechora Ramani ya Dunia yeye alikuwa amekaa wapi?

Atakuwa alikaa kwenye kile Kivuko cha MV Dar kilichopaki pale Kigamboni kwa sasa.
 
Malaika anaitwa ATLAS ndo alichora ramani ya dunia.just google for more info
 
Hapa ndipo unapogundua kabla ya picha za selfii palikuwepo na ramani za selfii....Hahahaaa Mkuu ramani ya weza kuchorwa kwa kutumia picha za angani(Aerial photography...hii ni njia ya kisasa) au kwa kuchora vipande vipande...yaani unasafiri umbali mfupi nchi kavu au baharini kisha unarekodi then baadae unaunganisha kupata ramani nzima.Hii njia ya pili ndio iliyotumika zamani.
 
Na wakati huo walitumia pia GPS, kupima umbali toka eneo moja hadi lingine pia walikuwa wameshagundua longitudo na latitudo. Isaac Newton alikuwa chanzo na walimwita mzushi lakini mwishowe walikubali na iliwasaidia kuchora ramani.
 
Sasa kama alikaa huko sijui kwenye satelite sasa hyo satelite ilikuwa dunia ipi sasa!![emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
Ilikuwa dunia ipi hyo satelite
 
satelite ndo zimetumika,hakuna mtu ambae angechora kwa kutumia akili yake au mikono yake,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…