joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kenya inaongoza Afrika katika mauaji holela yanayofanywa na vyombo vya dola, Kenya mtu kuuliwa ni sawasawa na huku Tanzania tunavyoua kuku, ni rahisi kumuua binadamu kuliko mnyama wa porini huko Kenya.
Sasa Huyu kijana mzalendo kwa nchi yake aliyesambaza video yenye kuonyesha wachina 239 wanashuka toka kwenye ndege ya KQ na wanaingia Kenya kwa lengo la kuhabarisha umma juu ya hangs la Corona naye mnataka kumuua kama Kenei, Msando, Jacob Juma na wengine wengi, hivi kwanini Wakenya mumekuwa wanyama kupitiliza?
Sent using Jamii Forums mobile app