joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Tumia akili wewe wacha kukurupuka, hapa tunazungumzia kuandamwa na vyombo vya dola ili kuuliwa baada ya serikali kushindwa jaribio la kulazimishwa afukuzwe Kazi, serikali yenu inaongoza hapa Africa kwa "Extrajudicial killings", huyu jamaa lazima awe na wasiwasi baada ya kupewa taarifa kwamba kuna watu wanetumwa wamteke na kumuua.I'll update you on this matter. Naona bado upo mwezi jana. Mahakama iliamuru arejeshwe kazini mara moja!
Daily Nation: Court blocks arrest of KQ staff Gire Ali, orders reinstatement.
Court orders KQ to reinstate whistle blower
No negative news from your Kenyan neighbours? Tunapambana na Korona, kuwa na subira. Naona nyuzi za kufungua zimekuishia umeanza kuokota habari "zilizoganda"Tumia akili wewe wacha kukurupuka, hapa tunazungumzia kuandamwa na vyombo vya dola ili kuuliwa baada ya serikali kushindwa jaribio la kulazimishwa afukuzwe Kazi, serikali yenu inaongoza hapa Africa kwa "Extrajudicial killings", huyu jamaa lazima awe na wasiwasi baada ya kupewa taarifa kwamba kuna watu wanetumwa wamteke na kumuua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali yenu naona wametorokea Dodoma kuwaacha walalahoi wapambane na Corona.Kenya inaongoza Afrika katika mauaji holela yanayofanywa na vyombo vya dola, Kenya mtu kuuliwa ni sawasawa na huku Tanzania tunavyoua kuku, ni rahisi kumuua binadamu kuliko mnyama wa porini huko Kenya.
Sasa Huyu kijana mzalendo kwa nchi yake aliyesambaza video yenye kuonyesha wachina 239 wanashuka toka kwenye ndege ya KQ na wanaingia Kenya kwa lengo la kuhabarisha umma juu ya hangs la Corona naye mnataka kumuua kama Kenei, Msando, Jacob Juma na wengine wengi, hivi kwanini Wakenya mumekuwa wanyama kupitiliza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, hahahaha, wewe unajisikiaje kumuona mkenya mwenzako maisha yake yapo hatarini kwa kuonyesha wageni wanashuka kwenye ndege?, mnaishije huko kwenu?No negative news from your Kenyan neighbours? Tunapambana na Korona, kuwa na subira. Naona nyuzi za kufungua zimekuishia umeanza kuokota habari "zilizoganda"
Tangia tarehe 26 mwezi wa February kufikia sasa yupo kazini, uhai na hajabambikiziwa kesi za kuhujumu uchumi. Ningeomba usome hio link..
Kenya inaongoza Afrika katika mauaji holela yanayofanywa na vyombo vya dola, Kenya mtu kuuliwa ni sawasawa na huku Tanzania tunavyoua kuku, ni rahisi kumuua binadamu kuliko mnyama wa porini huko Kenya.
Sasa Huyu kijana mzalendo kwa nchi yake aliyesambaza video yenye kuonyesha wachina 239 wanashuka toka kwenye ndege ya KQ na wanaingia Kenya kwa lengo la kuhabarisha umma juu ya hangs la Corona naye mnataka kumuua kama Kenei, Msando, Jacob Juma na wengine wengi, hivi kwanini Wakenya mumekuwa wanyama kupitiliza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lengo langu ninataka Kenya walianzishe Kama alivyofanya Idd Amin ili tuwasaidie wakenya waondokane na utawala wa Jubilee [emoji23][emoji23][emoji23]hizi shobo kama zako ndio zilisababisha vita ya kagera, watanzania hatubadiliki kila siku, mambo ya kenya yanakuhusu nini wewe ? mbona hata hapa watu wanakufa
Sent using Jamii Forums mobile app