Aliyeelewa kibonzo cha Kipanya atusaidie

Aliyeelewa kibonzo cha Kipanya atusaidie

Anita Kajembe

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2021
Posts
215
Reaction score
487
1625768048481.png

Uelewa wangu mdogo unaniambia ujinga ndiyo unatuongoza, ndiyo umeshika remote control.
 
Hawa ni maadui watatu aliowasema nyerere,ambao si kuwa kwa raia wa kawaida tu bali hadi kwa wanaotuongoza.

Kama unavyoona wamejaa tele kwenye sofa na miguu kwenye kapeti huku mwananchi wa kawaida akiwa pembeni huku
 
Nimewaza kwanini mama mwenye maandishi ya umasikini amevalishwa mavazi ya kijani.
 
Wamevamia Sebule(Taifa) na hakuna dalili wataondokalini, mwenye nyumba(Watanzania) kama anavyoonekana hana nguvu ya kuwaondoa, na amekaa kinyonge kama tunavyoitwa na watawala "Wananchi maskini na wanyonge"
 
Back
Top Bottom