Aliyeelewa usajili wa Mudathir Yahya anieleweshe

Sure boy na muda wote waliachwa na azam kwa ajili ya utovu wa nidhamu(waliitisha mgomo ndani ya club,wakitaka mgao mkubwa wa pesa dhidi ya wageni).

Leo yanga inawachukua wote wakaungane kuleta mgomo tena,dhidi ya kina ki aziz na mayele.

Kiasili muda ni mkorofi tena sio kidogo,jamaa bangi anazovuta zinamchanganya sana,japo ni mchezaji mzuri.

Sidhani kama muda na morrison wataelewana na nabi,sidhani kwa kweli.
 
Moyo utapasuka kwa maumivu makali unayoyapitia iv sasa
 
Mmeamua kuwekeza kwenye majungu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni Simba ila naona niusajili mzuri kuzingatia depth na balance ya wachezaji wa kigeni kuliko kua na mchezaji kama bigirimana anaelipwa pesa nyingi ni heri uwe na Muda utakaemlipa nafuu kidogo na akacheza kwa kujituma,na pamoja na yote hayo bado ni kiungo mzuri kuliko Zawadi mauya.
 
Dah! Unaonekana una huruma sana. Mimi nilitarajia ufurahie kuona Yanga imesajili wachezaji wakorofi na wagomaji, kuliko hata Saido Ntibazonkiza.
 
Uislamu unakujaje tena apo
 
Watanzania mna shida kuliko shida zenyewe. Umesema hujaelewa Kwa nini kasaniliwa, hapohapo unamwaga sifa na sababu za kusajiliwa kwake?
Kumbe mmwaga sifa ndio huyo huyo mleta uzi. Siku note hilo na wengi hawajaweza kuli note hilo. Ila baada ya comment yake nikabidi nikague nakuona kweli jamaa chenga kweli.
 
Mechi ya Leo imeonyesha kama usajili wa Mudathir ni sahihi au wamepoteza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…