Segito wa Kalenga
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 609
- 864
mkanganyiko huu bado unafatiliwa kwa umakini nitawajuza kinachoendelea
==================
Model halisi wa kwenye video hiyo akanusha
==================
ni kweli tukio hilo limetokea arusha,makumira.
Huyu binti aliyefariki amefananishwa tu na huyo model,namfahamu na ni jirani wa mzazi wangu.
Amebakwa na zaidi ya watu wanne na chupa ikapachwikwa sehemu zake za siri.
binadamu siku hizi wamekosa utu.............
Naimani Mungu amewaona wasamehe uko uliko mbele yetu sisi nyuma yako
R.I.P Juliana
Model halisi wa kwenye video hiyo akanusha