Segito wa Kalenga
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 609
- 864
- Thread starter
-
- #21
weee nawe sliokwambia huyo ni Hamisa nani?? mfyuuuu punguza mihemkoTukio liketokea kweli lakini huyu sio hamisa mobeto video queen wa nyimbo ya Salome
kumbe ni kiki tuKufa kufaana wameongeza view youtube
hapana sio model wa kwenye kile kideo wamemfananishaTukio liketokea kweli lakini huyu sio hamisa mobeto video queen wa nyimbo ya Salome
sio model aliyefanyiwa hivyo bali mdada ambaye amefananishwa naye,kwa maana hiyo coz sio model bas hana haki ya kuambiwa RIP................jamb* ukalaleAcha upuuzi wewe unaambiwa si kweli unagn`ang`ana tu RIP YOURSELF!!!!!!
Ingelikuwa kama na sisi tuna record za DNAFinger print,DNA test, majimaji kwenye uke, wanaweza wakamata hao wauwaji