Wasalamu wadau. Naomba aliye Apply huu mkopo usiona riba wa WATUMISHI HAZINA PORTAL ANIJUZE kama ni mda gani toka uombe unapata huo mkopo. Povu ruksa wadau
Wasalamu wadau. Naomba aliye Apply huu mkopo usiona riba wa WATUMISHI HAZINA PORTAL ANIJUZE kama ni mda gani toka uombe unapata huo mkopo.Povu ruksa wadau
Hii sijawahi jaribu, lkn kwa HAZINA SACCOS mkopo nidk SIFURI kama ni mwanachama wao na unakidhi vigezo, RIBA pia ni rafiki kweli kweli siyo kama ya Mabenki ambao ni "KAUSHA DAMU".
Wasalamu wadau. Naomba aliye Apply huu mkopo usiona riba wa WATUMISHI HAZINA PORTAL ANIJUZE kama ni mda gani toka uombe unapata huo mkopo. Povu ruksa wadau