mchakachuaji192 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 366 Reaction score 68 Jul 18, 2016 #1 Habarini wana jamii? Naomba kufaham kama kuna mtu yeyote yule aliefanikiwa kupata mkopo wa BOA bank, Nasikia kuna urasimu sana katika kupata mikopo kupitia bank hii je ni kweli hizi taarifa
Habarini wana jamii? Naomba kufaham kama kuna mtu yeyote yule aliefanikiwa kupata mkopo wa BOA bank, Nasikia kuna urasimu sana katika kupata mikopo kupitia bank hii je ni kweli hizi taarifa